Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Once marekani ilikua ina ugumu katika kumcategory trans gender akae wapi.

James anatoa same challenge.

Mtu ambaye anajichukulia yeye ni mwanamke unamfungiaje na wanaume rundo?

Brutality ya gerezani hua haionyeshwi uraiani, this guy can die in there na hata tusipate habari.

Taifa letu linatakiwa kuevolve na kuendana na hali halisi. Kama mtu kafanya kitendo kisicho cha utu (kusambaza maudhui yasiyofaa!!!) Wewe adhabu yako ni kumfungia kwa miaka 3 gerezani pengine wewe ni mnyama kumzidi.

Amber Rutty na Mumewe wana gari. Walipige bei kimfaacho mtu chake (unless kama zilikua show off)
 
sasaa yule kijana James ngoja akakutane na wajuba ngomeni
Kumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]

Hawatomwacha salama miaka 5 lazima awe mke wa nyampala huko kati
 
Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Mkuu kama ni hivyo vipi wanaotaka kujitoa uhai, waaachwe wajitoe maana ni uhai wao wenyewe?
 
James delicious m5 atatoa wapi[emoji2]

Mamende fanye fasta mgodi unaenda kwa wajuba segedance
 
Ni kweli Hakimu ametumia ubinadamu kwa hukumu hiyo,ni ndogo sana kutokana na kosa lenyewe.siyo tuu kufanya kinyume na maumbile,ila kinachoo udhi zadii ni kutafuta soko kuipromoti hadharani hiyo business. Nadhani wangewaongezea na kazi ngumu
Yaani kwa kuwa mtu Hana mipaka juu ya tabia....Basi ndio ajirekodi na asambaze kwa WATU ambao Wana mipaka ya tabia?!!!

Starehe yao ya hadharani kwanini iwe KERO kwa wengine?!!sembuse HIYO ya Faraghani?!!!

Hongera Sana mh.Hakimu!!
 
Lisu yupo atawatetea!

Si wale mabeberu wake wanahitaji sana watu kama..
 
Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.

Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.

Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.

Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.

Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Pancha, [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.

Vitu vingine kujifanya civilized sana hatimae vizazi vyetu vinaharibika hivi hivi. Kuna kuwa na kizazi kilicho na watu wasio eleweka ni wao ni wanaume au wanawake.

Nature haina hiyo kitu hata wanyama porini tuu hawafanyi huo upumbavu ni haki yao kabisa kupewa hukumu kwa kwenda kinyume na NATURE.
Ndio uone kuna sheria zingine zinachekesha yaani mtu alitaka kujiua kwa magumu yake anayopitia, amenusurika badala ya kumsaidia unaenda kumfunga jela, ndio atajifunza au unamuongezea stress za kufa.
 
Mwijaku kaponea kwenye tundu la sindano, ngoja tungoje hukumu yake
 
Kama kosa la kusambaza hata Gwajima naye alisambaza

Gwajima si ndiyo kapewa dhamana na CCM kupeperusha bendera Kawe kwenye Ubunge.

Huenda CCM itawalipia faini hao wasanii maana si ndiyo wapiga kampeni wake.
 
Sihitaji ukubaliane na mimi kwenye jambo lolote. Wala sijakuomba.

Ni wewe tu na kiherehere chako cha kujipendekeza.

Halafu mimi nilishavuka hivyo viwango vya midahalo dhaifu toka zamani sana. Viwango vyangu mimi ni KUKUJAZA MAARIFA tu.

Ukiamua kuendelea kuwa mjinga, unaruhusiwa.

Ni haki yako ya kikatiba kuamua kuwa mjinga na ninaiheshimu.
Kama unahisi huna chochote unachoweza kukubaliana na watu usiwe unawaquote. Ni utaratibu rahisi sana.
 
Back
Top Bottom