Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
NimekujaaaaCulture Me mjuba wetu njoo huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekujaaaaCulture Me mjuba wetu njoo huku
Hivi hao waliofungwa nao ni masupa stars?Hawa masuper star wanafujo sana mbele ya camera lakini maisha yao ni magumu.
Bora tu aende huko huku kitaa ataharibu watotoJela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.
Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.
I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Tafiti gani uliyoifanya kufikia conclusion hiyo?!!Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.
Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.
Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.
Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.
Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Kiufupi yeye ni zero brain halafu anataka kushindana na akili kubwa, hahahahaWewe hata huelewi muktadha. Kimsingi huelewi hata unachokizungumza wewe mwenyewe.
Pili, huna ufahamu wowote kuhusu namna sheria zinavyotungwa bungeni. Wala hujui bunge linavyofanya kazi.
Huelewi chochote kuhusu lolote.
Ni kosa kisheria....Hivi kumbe sheria za nchi haziruhusu kufanya mapenzi kinyume na maumbile?
Si bora angekuwa mke tu akitoka huko huko nyuma panatoa wadudu tu,Kumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]
Hawatomwacha salama miaka 5 lazima awe mke wa nyampala huko kati
[emoji120]Awww! Ameeen [emoji179]
Nakuaminia kamanda, wanyoooooshe, [emoji38]Leo nipo na wanafiki. Naenda nao sambamba.
Hakuna jiwe litaachwa juu ya jiwe!
Kulawitiana ni kosa la kisheria....Halafu sidhani kama kweli serikali ina lengo la kuhangaika na vinyeo vya watu.
Hawa watu wametumika tu kama chambo ya kisiasa kuharibu joto la uchaguzi ama jambo lingine linalofanana na hilo.
Last i checked, waliachiwa kwa dhamana na nina uhakika ilidhamiriwa kuwaachia kabisa.
Hawa ni chambo tu. Ndio maana hata hukumu yao ni laini sana.
Ukweli ni kwamba, serikali haina nia wala haioni tija ya kufukuzana na watu wanaopakuana matope.
"Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!"Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
uje unipe hiyo sufuri yako tuiobe hiyo sheria kama nzur au mbayaHiyo wala haitambuliki kama kinyume na umbile. Chaajabu sasa watu wanafanya kila leo ila wanaovujisha videos ndio wanakamatwa.sasa inatakiwa wahukumiwe kwa kusambaza video siyo kufanya? Kwani watu wakiwa chumbani wanafanya serikali inaona? Hata kama inaona lakini picha hazijaonekana kwa mtu mwingine kwanini iingilie kati? Sheria za kipumbavu kama hizi zisipewe nafasi.
Chadema na Lissu,Halima mdee na Fatuma Karume ni muhimu kuwatetea hawa watu!
😂😂Nimekujaaaa
Mbona tafiti za Kila namna zinafanyika Kila uchao?!!Mwaka 2014 kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika na kati ya waliohojiwa na gazeti la mwananchi 39% wanawake walikiri kufanya huo mchezo.wanaume 47% walikiri kujaribu kufanya hayo mambo natafuta ile Makala ya mwananchi niiweke hapa maana watanzania ni wanafiki sana.