Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Bora tu aende huko huku kitaa ataharibu watoto
 
Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.

Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.

Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.

Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.

Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Tafiti gani uliyoifanya kufikia conclusion hiyo?!!

Looh isije ikawa unajiongelea mwenyewe😂😂
 
Wewe hata huelewi muktadha. Kimsingi huelewi hata unachokizungumza wewe mwenyewe.

Pili, huna ufahamu wowote kuhusu namna sheria zinavyotungwa bungeni. Wala hujui bunge linavyofanya kazi.

Huelewi chochote kuhusu lolote.
Kiufupi yeye ni zero brain halafu anataka kushindana na akili kubwa, hahahaha
 
Halafu sidhani kama kweli serikali ina lengo la kuhangaika na vinyeo vya watu.

Hawa watu wametumika tu kama chambo ya kisiasa kuharibu joto la uchaguzi ama jambo lingine linalofanana na hilo.

Last i checked, waliachiwa kwa dhamana na nina uhakika ilidhamiriwa kuwaachia kabisa.

Hawa ni chambo tu. Ndio maana hata hukumu yao ni laini sana.

Ukweli ni kwamba, serikali haina nia wala haioni tija ya kufukuzana na watu wanaopakuana matope.
Kulawitiana ni kosa la kisheria....

Whether serikali ipuuze ama laa,hakufanyi lisiwe kosa kisheria!!
 
Hili li James linatoa macho 😳😳😳haliogopi ata camera 📷,

Ningekuwa mimi ndo baba ake ningepiga pipe moja ya risasi 🔫 kwenyewe linafanywa linanikela vibaya

😤😤
 
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
"Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!"
Fafanua hapo [emoji115]
 
Hiyo wala haitambuliki kama kinyume na umbile. Chaajabu sasa watu wanafanya kila leo ila wanaovujisha videos ndio wanakamatwa.sasa inatakiwa wahukumiwe kwa kusambaza video siyo kufanya? Kwani watu wakiwa chumbani wanafanya serikali inaona? Hata kama inaona lakini picha hazijaonekana kwa mtu mwingine kwanini iingilie kati? Sheria za kipumbavu kama hizi zisipewe nafasi.
uje unipe hiyo sufuri yako tuiobe hiyo sheria kama nzur au mbaya
 
Mwaka 2014 kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika na kati ya waliohojiwa na gazeti la mwananchi 39% wanawake walikiri kufanya huo mchezo.wanaume 47% walikiri kujaribu kufanya hayo mambo natafuta ile Makala ya mwananchi niiweke hapa maana watanzania ni wanafiki sana.
Mbona tafiti za Kila namna zinafanyika Kila uchao?!!

Tafiti Hiyo iliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi iliwahoji watu wangapi Tanzania nzima?!!!

Yaani watanzania wengi walio na stara ya Mambo ya faragha huku Wakiwa na Siri za unyago na jando wakubali KUONGEA Mambo Hayo na watafiti?!!!

Uwahoji waliberali na Marika ya ujana walio "mijini" halafu useme tafiti ile iliyoandikwa na gazeti la mwananchi inaakisi watanzania wote😁😁
 
Back
Top Bottom