Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Bora tu aende huko huku kitaa ataharibu watoto
 
Tafiti gani uliyoifanya kufikia conclusion hiyo?!!

Looh isije ikawa unajiongelea mwenyewe😂😂
 
Nyama ya mbele ni kavu ya nyuma inamafutaaaa....mamaee
 
Wewe hata huelewi muktadha. Kimsingi huelewi hata unachokizungumza wewe mwenyewe.

Pili, huna ufahamu wowote kuhusu namna sheria zinavyotungwa bungeni. Wala hujui bunge linavyofanya kazi.

Huelewi chochote kuhusu lolote.
Kiufupi yeye ni zero brain halafu anataka kushindana na akili kubwa, hahahaha
 
Kulawitiana ni kosa la kisheria....

Whether serikali ipuuze ama laa,hakufanyi lisiwe kosa kisheria!!
 
Hili li James linatoa macho 😳😳😳haliogopi ata camera 📷,

Ningekuwa mimi ndo baba ake ningepiga pipe moja ya risasi 🔫 kwenyewe linafanywa linanikela vibaya

😤😤
 
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
"Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!"
Fafanua hapo [emoji115]
 
uje unipe hiyo sufuri yako tuiobe hiyo sheria kama nzur au mbaya
 
Chadema na Lissu,Halima mdee na Fatuma Karume ni muhimu kuwatetea hawa watu!

Babu Seya Mfiraji yuko wapi ,Mbona CCM mlimtoa Jela kwani Chadema ndiyo ilimuachia .
Magufuli alimtoa Jela mfiraji unataka kusema nini wewe.

Yule alipaswa aozee Jela ,Watoto walinajisiwa au ilikuwa sawa kwa CCM.
 
Mbona tafiti za Kila namna zinafanyika Kila uchao?!!

Tafiti Hiyo iliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi iliwahoji watu wangapi Tanzania nzima?!!!

Yaani watanzania wengi walio na stara ya Mambo ya faragha huku Wakiwa na Siri za unyago na jando wakubali KUONGEA Mambo Hayo na watafiti?!!!

Uwahoji waliberali na Marika ya ujana walio "mijini" halafu useme tafiti ile iliyoandikwa na gazeti la mwananchi inaakisi watanzania wote😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…