Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Kuna sehemu zao huwa wanatengwa, sio mara ya kwanza shoga kufungwa. Na kama umewahi kwenda jela nadhani utafahamu ili.
 
Kumbe hadi nyeti ni mali ya sirikali?😳
Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
James leo kapaka poda kwa mbalii
Oyaa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
nini maana ya huo msemo kimfaacho mtu chake
 
Hili li James linatoa macho [emoji15][emoji15][emoji15]haliogopi ata camera [emoji328],

Ningekuwa mimi ndo baba ake ningepiga pipe moja ya risasi [emoji379] kwenyewe linafanywa linanikela vibaya

[emoji36][emoji36]
Hao Wana connection kubwa Ana mabwana na wengine ukiwaona au kusikia wanaoruka nao utablowww

Ova
 
Tangazo kwa wana Chaputa.
kesho Sept 26 kutakuwa na kikao kizito cha kufanikisha michango kwaajili ya faini ya Amber Lutty.

wanachama wote wa Chaputa pamoja na wastaafu wote wa Chaputa kikao hiki kinawahusu fika bila kukosa.
Venue;Masai in zamani meridian.
Time: 7:00 pm.
Imetolewa na secretariate ya Chaputa makao makuu Buza kwa mpalange.
 
Muda kama huu segerea kuna mtu kishanyewa na james.
 
Sijaomba kuelekezwa. Mimi ni mwanasheria kuliko wewe!

Ninazifahamu sheria za jinai na ninazielewa kwa mapana na marefu yake.

Nina ufahamu wa mambo mengi nje ya sheria kuliko wewe. I can guarantee.

Usinifundishe mambo ninayoyaelewa. Najisikia kero!
Ulivyoanza TU..."wewe Ni mwanasheria kuliko mm"...

Nimekupuuza...kwa kuwa hunijui halafu unasema "wewe" ni zaidi yangu..Kalaghaho!!😂😂
 
Nahisi kuna uhitaji wa mabadiliko ya sheria, tunahitaji kuwa na sheria kali zaidi ili watu waache huu ufirauni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…