Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Once marekani ilikua ina ugumu katika kumcategory trans gender akae wapi.
James anatoa same challenge.
Mtu ambaye anajichukulia yeye ni mwanamke unamfungiaje na wanaume rundo?
Brutality ya gerezani hua haionyeshwi uraiani, this guy can die in there na hata tusipate habari.
Taifa letu linatakiwa kuevolve na kuendana na hali halisi. Kama mtu kafanya kitendo kisicho cha utu (kusambaza maudhui yasiyofaa!!!) Wewe adhabu yako ni kumfungia kwa miaka 3 gerezani pengine wewe ni mnyama kumzidi.
Amber Rutty na Mumewe wana gari. Walipige bei kimfaacho mtu chake (unless kama zilikua show off)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si bora angekuwa mke tu akitoka huko huko nyuma panatoa wadudu tu,
Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kumbe hadi nyeti ni mali ya sirikali?😳
Oyaa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]James leo kapaka poda kwa mbalii
umewahi kukutana nae personally?James leo kapaka poda kwa mbalii
hivi delicious kosa lake nini?James delicious mamende watamlipia [emoji2]
nini maana ya huo msemo kimfaacho mtu chakeOnce marekani ilikua ina ugumu katika kumcategory trans gender akae wapi.
James anatoa same challenge.
Mtu ambaye anajichukulia yeye ni mwanamke unamfungiaje na wanaume rundo?
Brutality ya gerezani hua haionyeshwi uraiani, this guy can die in there na hata tusipate habari.
Taifa letu linatakiwa kuevolve na kuendana na hali halisi. Kama mtu kafanya kitendo kisicho cha utu (kusambaza maudhui yasiyofaa!!!) Wewe adhabu yako ni kumfungia kwa miaka 3 gerezani pengine wewe ni mnyama kumzidi.
Amber Rutty na Mumewe wana gari. Walipige bei kimfaacho mtu chake (unless kama zilikua show off)
ila ataishi maisha mazuri kuliko hata uraiani [emoji3][emoji3][emoji3]Kumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]
Hawatomwacha salama miaka 5 lazima awe mke wa nyampala huko kati
Kuliwa kibogahivi delicious kosa lake nini?
Duh hapa pazito.Sasa James delicious watamfunga gereza la Jinsia gani?
Ova
Hao Wana connection kubwa Ana mabwana na wengine ukiwaona au kusikia wanaoruka nao utablowwwHili li James linatoa macho [emoji15][emoji15][emoji15]haliogopi ata camera [emoji328],
Ningekuwa mimi ndo baba ake ningepiga pipe moja ya risasi [emoji379] kwenyewe linafanywa linanikela vibaya
[emoji36][emoji36]
ushahidi upo?Kuliwa kiboga
Futa kauli yako kaka/ dadaMungu mwenyewe hili suala limemshinda. Aliteketeza sodoma na gomora ili kutokomeza kabisa hii tabia, iweje imerudi? [emoji848]
Ulivyoanza TU..."wewe Ni mwanasheria kuliko mm"...Sijaomba kuelekezwa. Mimi ni mwanasheria kuliko wewe!
Ninazifahamu sheria za jinai na ninazielewa kwa mapana na marefu yake.
Nina ufahamu wa mambo mengi nje ya sheria kuliko wewe. I can guarantee.
Usinifundishe mambo ninayoyaelewa. Najisikia kero!
Comment bora zaid ya Thread hii,mental health problems sio tu kula jalalani,hawa probably wana mental health problemSiku wakigundua hawa watoto ni wagonjwa wa akili tunaweza kupata pakuanzia kwa usahihi.
Sifuti.Futa kauli yako kaka/ dada