Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

kwahyo wote watatu wamekosa M 11 tu?
na show off zote zile.
 
Wamewakomesha hao wahaini, na sura yake Mbaya Iile lidemu lilikuwa linasurvivor tu.

Ngoja tuone Ni chama gani kitawasaidia, Ila nahisi hichi chenye macerebriti wengi ndo nawasiwasi nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tabia kweli unaweza kukosoa ila sio uumbaji. hakujiumba mwenyewe hata huo muonekano wako mzuri unaweza kupotea ndani ya sekunde.
 
Watoe hukumu ya kusambaza video ( kama kweli walisambaza) ila ya kuingiliana kinyume wanawaonea.
 
Binadamu amekua kiumbe wa ajabu sana
Hata wanyama hawafirani
Siku hizi imekuwa fashion wanawake na wanaume ndiyo michezo yao
Watoe hukumu ya kusambaza video ( kama kweli walisambaza) ila ya kuingiliana kinyume wanawaonea.
 
Back
Top Bottom