ohoooo!!!Bado mwijaku nae lazima akaliwe na nyampara keko
maana yake nini? sentences are to run concurrently? watalipa milioni 3 na kufungwa miaka 3? Concurrent sentences are served at the same timeadhabu zitaenda sambamba
Kesi ipo inaendelea mzeeeWhy kipindi cha uchaguzi ndo hukumu itoke??
Mwijaku anahukumiwa lini??
achana nao hao!Kwahiyo ndugu hakimu na wazee wa baraza waliziangalia video na kujiridhisha?
Nauliza tu
Hana shida kuhusu hilo maana ndio furaha yake.ako ka james si kana enda kua mke wa nyapara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana shida kuhusu hilo maana ndio furaha yake.
Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Iwe walisambaza au hawakusambaza, hizo video ndio zimekuwa sehemu ya ushahidi kwa mahakama kuwatia hatiani...Watoe hukumu ya kusambaza video ( kama kweli walisambaza) ila ya kuingiliana kinyume wanawaonea.