Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kuna watu watajitolea kuwapa izo Mil 11.
James delicious huwa analipiwa faini za mahakamani,amewahi pia kuwekewa dhamana mil ngapi sjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu watajitolea kuwapa izo Mil 11.
Anaenda kuwa mboga huyo🤣Huyu wa kuitwa Delicious, atawekwa kwa wanaume au kwa wanawake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kama kosa la kusambaza hata Gwajima naye alisambazaWana kosa Moja tu lakusambaza, lingine wamewaonea
Watampeleka jela ya mademuJela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.
Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.
I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Duh, au unapata ruzuku toka kwa mabeberu?, Kwa mtizamo wako wameonewa, kawasaidie kulipa fine zao basiMtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Wala sitarajii vote..time will tell hata kama itachukua 50 years na sisi hatutakuwepo. haya mambo yatakuwa wazi na uhuru watapewa bila kipingamizi.Sheria zinawekwa na watu, sasa unafikiri leo hii watanzania asilimia ngapi wanaweza kuvote hiyo sheria ifutwe?
Kama say majority hawakubaliani na huo ufirauni unaweza kusema sheria haijakaa sawa?
Double standardYule mwanamke aliyekuwa na mwkj eti juzi kati kapewa deal la ubaloz wa nn sjui
Leo wamesahau kma Alifanya madudu anaonekana Kioo cha jamii
Ova
hamna zinaruhusuHivi kumbe sheria za nchi haziruhusu kufanya mapenzi kinyume na maumbile?
Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.
Vitu vingine kujifanya civilized sana hatimae vizazi vyetu vinaharibika hivi hivi. Kuna kuwa na kizazi kilicho na watu wasio eleweka ni wao ni wanaume au wanawake.
Nature haina hiyo kitu hata wanyama porini tuu hawafanyi huo upumbavu ni haki yao kabisa kupewa hukumu kwa kwenda kinyume na NATURE.
Hao unakuta mara nyingi wanaliwa na watu wazito wenye uwezo mkubwa wa kifedhaJames delicious huwa analipiwa faini za mahakamani,amewahi pia kuwekewa dhamana mil ngapi sjui
Nabwabwajaunaweza kumueleza haya mambo mtoto wako au unabwabwaja tuu hapa.
sheria inaruhusu hakimu kumuonea mshtakiwa huruma?Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.
Sasa unabishana na sheria au unabishana na hakimu?
Wale wakiachiwa basi kutakuwa na upendeoDouble standard
Ha haaa walimchomoa eti ni PhotoshopKama kosa la kusambaza hata Gwajima naye alisambaza
Dah wana wanapelekewaaaa msosiiii wa bureeeeeeMahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"
"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"
Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Na wanaoenda chumvini, hivi wanaelewa madhara yake kweli?Na wale wa blowjob nao wahukumiwe kwan nayo nikinyume na maumbile