Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Napenda kufahamu hizo mil 11 zitawanufaisha vipi wahusika kwa kuwa viungo walivyotumia si nyara za serikali. Asante!
 
Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Watampeleka jela ya mademu
 
Sheria zinawekwa na watu, sasa unafikiri leo hii watanzania asilimia ngapi wanaweza kuvote hiyo sheria ifutwe?

Kama say majority hawakubaliani na huo ufirauni unaweza kusema sheria haijakaa sawa?
Wala sitarajii vote..time will tell hata kama itachukua 50 years na sisi hatutakuwepo. haya mambo yatakuwa wazi na uhuru watapewa bila kipingamizi.
 
Na wale wa blowjob nao wahukumiwe kwan nayo nikinyume na maumbile
 
Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.

Vitu vingine kujifanya civilized sana hatimae vizazi vyetu vinaharibika hivi hivi. Kuna kuwa na kizazi kilicho na watu wasio eleweka ni wao ni wanaume au wanawake.

Nature haina hiyo kitu hata wanyama porini tuu hawafanyi huo upumbavu ni haki yao kabisa kupewa hukumu kwa kwenda kinyume na NATURE.

Kizazi kimeharibika kwa watu kufukuana mitaro private?
Hata tupige kelele namna gani haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Tunapigizana kelele tu hapa kupoteza muda, hakuna anayeweza kutokomeza hii kitu. Ibaki tu makanisani na misikitini kuwa ni dhambi, na upande wa afya tujue madhara yake ili kupunguza kasi.
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"

Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Dah wana wanapelekewaaaa msosiiii wa bureeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom