Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Napenda kufahamu hizo mil 11 zitawanufaisha vipi wahusika kwa kuwa viungo walivyotumia si nyara za serikali. Asante!
 
Jela kule labda haki ya uhai tu ndio utapata.

Huyo anaenda kuolewa kabisa, na kwakuwa jela hakuna vifaa kinga huyo anaweza hata kukwaa magonjwa.

I wish apate hiyo 5M abaki uraiani maana hakimu hajatumia busara
Watampeleka jela ya mademu
 
Sheria zinawekwa na watu, sasa unafikiri leo hii watanzania asilimia ngapi wanaweza kuvote hiyo sheria ifutwe?

Kama say majority hawakubaliani na huo ufirauni unaweza kusema sheria haijakaa sawa?
Wala sitarajii vote..time will tell hata kama itachukua 50 years na sisi hatutakuwepo. haya mambo yatakuwa wazi na uhuru watapewa bila kipingamizi.
 
Na wale wa blowjob nao wahukumiwe kwan nayo nikinyume na maumbile
 

Kizazi kimeharibika kwa watu kufukuana mitaro private?
Hata tupige kelele namna gani haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Tunapigizana kelele tu hapa kupoteza muda, hakuna anayeweza kutokomeza hii kitu. Ibaki tu makanisani na misikitini kuwa ni dhambi, na upande wa afya tujue madhara yake ili kupunguza kasi.
 
Dah wana wanapelekewaaaa msosiiii wa bureeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…