Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Aisee,
So akiomba ataapewaaa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,
[emoji3][emoji3]msanii wa nini huyu?
JF is never boringIna maana wanarud katka geto lao uyo amber na mwenzake!!!!??
Najaribu kuufikiria usiku wa leo tu, uku nikiwa namuangalia man city pale france
100% kweli kabisa mkuu, tumemhukumu na kumnyooshea vidole sana, lakini humu wafiraji na wafirwaji wako wangapi?“Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe”. Yohana 8:11 Mchungaji umeonyesha upendo wa Kimungu...ni wadada wangapi wanafanya haya mambo???je mtoto wako akinyea mkono wako utaukata??Amber anahitaji maombi na ushauri nasaha....
Dah! Baba mchungaji, leo kweli huendi kulala usingizi. Naona umerudishiwa kipoozeo chako. Mtoto moyo unamdunda "Ngwadaah! Ngwadaah. Usingelikuwa umemkusanya vyema nadhani angeshaanguka chini.