Amber ruty na mpenzi wake wapata dhamana

Amber ruty na mpenzi wake wapata dhamana

“Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe”. Yohana 8:11 Mchungaji umeonyesha upendo wa Kimungu...ni wadada wangapi wanafanya haya mambo???je mtoto wako akinyea mkono wako utaukata??Amber anahitaji maombi na ushauri nasaha....
100% kweli kabisa mkuu, tumemhukumu na kumnyooshea vidole sana, lakini humu wafiraji na wafirwaji wako wangapi?
Mungu aturehemu (neno ufiraji limeandikwa katika biblia mod sijakosea)
 
Back
Top Bottom