Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Ukitaka kumsikia utamu mwingine wa Dunga sikiliza ngoma ya Joh Makini inayoitwa "POPOTE"
 
ni yeye , Sarah Kipingu, yupo ITV na Capital Radio

Ndio yule anapenda kutangaza taarifa ya habari saa mbili usiku muhtasari anausoma huku amesimama (maziwa yanaonekana) halafu anaenda kwenye meza anakaa?
 
Kimambo na Blaq boi ni producers wakali sana na beats zao zina vitu vingi zaidi ya Back vocals
 
Jamaa yangu huyu, Yuko kwa MJ pale na Dokta Marco Chali wanafanya mambo kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…