Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

Kama una hela Bora kwenda private,hizi za umma Ni shida
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Mungu wangu

Jr[emoji769]
 
Acha kuficha jipu..itaje hiyo hispitali aisee..na ilikuwa lini...!?
 
Karma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
NB: (Nota Bene) Mimi siko Jeneva niko Msata Kilingeni.

Jr[emoji769]
hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata haya mambo ya kawaida ambayo tungeweza kuyafanya kwa ufanisi kwakila mtu kuwajibika ipasavyo sehem yake hatuwezi. alafu tunakuja kuwalaum wazungu.Kuna ujinga mwingi sana kwa kweli.
 
Kwa hawa wahudumu wa afya hasa vituo na hospitali za serikali ni shida, mtoto wa dsda yangu alifariki mikononi mwangu daktari wa zamu usiku yuko nyumbani kwake. Namshukuru Mungu kwa kunipunguza na hasira maana ilikua nitoke na shingo yake

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…