Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

Kiukweli katika nchi yetu dharula sio kipaumbele nimeona watu wengi wanafariki kwa kukosa huduma, kuna watu wanaanguka na gari fire wanakuja kwa kuchelewa magari mabovu wanafika hawana vifaa, majeruhi wanapelekwa hospitali kitengo cha dharula mbali na kujivutavuta utasikia daktari hayupo bado serikali na jamii kunachangamoto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yote hii halafu mkifika daktari na wahudumu wake wanasuasua

Jr[emoji769]
 
VX vs Ambulance.. One for the politician one for the patient... What's wrong with our political leaders?
Tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa.....

Jr[emoji769]
 
Nimecheka kuchomoa mipira[emoji2] japo ina huzuni

Sent using ubishi.com
 
Pole sana mkuu
Karma is a bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeonaee jamaa anaishi leo..kwa maamuzi magumu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati unafika mahali unaona kuna uamuzi ndio bora kwako.. Hata mimi niliwahi kutoroka hospital teule Muheza na drip mkononi
Tulikuwa tumelazwa chini vitanda vimejaa.. Jirani yangu ni mzee mwenye busha kubwa halafu usiku huo likapasuka kwa kukosa huduma... Lilikuwa limevimba mno... Harufu ya yake maji ya busha likipasuka isikie tu kwa kusimuliwa

Jr[emoji769]
 
Yaani hua nawaza sana kazi waliisomea lakini hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
 
Huwa nawaza mara nyingine, huku kutokuwajibika kwa Serekale ndiko kunawafanya pia watumishi hawa wasiwe na munkare wa kufanya kazi
 
Risk wanazokutana nazo madereva wa ambulance kuwawahisha wagonjwa hospital kishapo wafikapo hospital wahudumu wa huduma za dharura walivyo goigoi unajiuliza nini maana sasa ya dereva kumwahisha mgonjwa pale[emoji848][emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…