Uchawi huo umewajaa.Jamii Forum nimeipigia salute kwa kukatisha watu tamaa.
Yaani watu badala ya kupongeza na kushare furaha na mhusika aliyepata mtoto baada ya kumtafuta kwa muda mrefu watu wanakuja kuleta tafrani na kuleta taharuki.
Very bad attitude.
Acha ujinga Kwan kutoa ushauri Toka lini ikawa kosa? Alafu kwann unataka wote tuwe na mawazo sawa?Kunako jamii forums
View attachment 2792882
Maneno tuu hayo jamaa mm namfahamu vzr sana sio mtu wa mambo hayo yani ampe mke mimba alafu aitoe...Mbona niliskiaga kuna mwanamke alimpa mimba wakati akiwa ndani ya ndoa hii hii na akamlazimisha atoe hiyo mimba hadi akaharibu kizazi. Mda mwengine wanaume muwe makini na matendo mnayowafanyia wanawake. Wakiwa na vinyongo juu yenu mnaweza kusota.
Na kuna story nliwahi kuiskia miaka ya nyuma alitakaga kufanya tukio la kubaka mtu sema jamaa kajua kujificha kwenye mwamvuli wa gospel acha aserereke humo ila mke wake anapitia mateso mume ni muhuni balaa. Ugomvi mara kibao tu. Sema ndo hivo waimba gospel wana privilege nyingi sana za kuonekana watakatifu.
Hongera nyingi kwao
Aache ujinga, akapime DNA
Akapime na DNA ya mchungaji wake piaAache ujinga, akapime DNA
Uko sahihi kiasi Fulani sio jf tu social media zote,watu wako bitter sana Wana husda ,uchinvi na chuki...Binafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.
AloooohhhhMbona niliskiaga kuna mwanamke alimpa mimba wakati akiwa ndani ya ndoa hii hii na akamlazimisha atoe hiyo mimba hadi akaharibu kizazi. Mda mwengine wanaume muwe makini na matendo mnayowafanyia wanawake. Wakiwa na vinyongo juu yenu mnaweza kusota.
Na kuna story nliwahi kuiskia miaka ya nyuma alitakaga kufanya tukio la kubaka mtu sema jamaa kajua kujificha kwenye mwamvuli wa gospel acha aserereke humo ila mke wake anapitia mateso mume ni muhuni balaa. Ugomvi mara kibao tu. Sema ndo hivo waimba gospel wana privilege nyingi sana za kuonekana watakatifu.
Hongera nyingi kwao
Story za kusikia huwa zipo hivyo .Mbona niliskiaga kuna mwanamke alimpa mimba wakati akiwa ndani ya ndoa hii hii na akamlazimisha atoe hiyo mimba hadi akaharibu kizazi. Mda mwengine wanaume muwe makini na matendo mnayowafanyia wanawake. Wakiwa na vinyongo juu yenu mnaweza kusota.
Na kuna story nliwahi kuiskia miaka ya nyuma alitakaga kufanya tukio la kubaka mtu sema jamaa kajua kujificha kwenye mwamvuli wa gospel acha aserereke humo ila mke wake anapitia mateso mume ni muhuni balaa. Ugomvi mara kibao tu. Sema ndo hivo waimba gospel wana privilege nyingi sana za kuonekana watakatifu.
Hongera nyingi kwao
Wacha weeStory za kusikia huwa zipo hivyo .
Ukute hata hayo yote ni mtu tuu anaamua kujitungia.
Wewe una uhakika ni mtoto wa unayemwita Baba yako?Aache ujinga, akapime DNA
Bora ww umeona hili.. mwanamke akikosa Mtoto mda mrefu lazma plan b zitumike..Aache ujinga, akapime DNA