Mbona niliskiaga kuna mwanamke alimpa mimba wakati akiwa ndani ya ndoa hii hii na akamlazimisha atoe hiyo mimba hadi akaharibu kizazi. Mda mwengine wanaume muwe makini na matendo mnayowafanyia wanawake. Wakiwa na vinyongo juu yenu mnaweza kusota.
Na kuna story nliwahi kuiskia miaka ya nyuma alitakaga kufanya tukio la kubaka mtu sema jamaa kajua kujificha kwenye mwamvuli wa gospel acha aserereke humo ila mke wake anapitia mateso mume ni muhuni balaa. Ugomvi mara kibao tu. Sema ndo hivo waimba gospel wana privilege nyingi sana za kuonekana watakatifu.
Hongera nyingi kwao