Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

Tulikotoka ni mbali tukitazama nyuma
Asingekuwa Bwana tusingefika hapa
Yale tuliyoyapitia hayakutuacha tulivyo
Haikuwa rahisi ni mkono wa Bwan
Mengine yalikuja kama mema mwisho ukawa ni mbaya
Mengine yalikuja kama mabaya kumbe yanakusudi
LAKINI KATIKA YOTE HAYO TULIKUONA BWANA UKITETEA MAISHA YETU YASIDHULUMIWE
my best song ever
Big up sana kwake he is truly gospel singer
 
Tulikotoka ni mbali
 
Ambwene anaimba purely gospel, anaimba biblia.

Haimbi gospel-bongo fleva kama za waimbaji wengine.

Apokee maua yake yungali hai.
 
Back
Top Bottom