wimbo haswa huuNi Yeye. Biblia nzima na Ukristo wote umekuwa summarize kwenye huu winbo mmoja.
View: https://youtu.be/1GwfvL3F50U?si=epKDSmaIF9zCe-oM
Tulikotoka ni mbaliTulikotoka ni mbali tukitazama nyuma
Asingekuwa Bwana tusingefika hapa
Yale tuliyoyapitia hayakutuacha tulivyo
Haikuwa rahisi ni mkono wa Bwan
Mengine yalikuja kama mema mwisho ukawa ni mbaya
Mengine yalikuja kama mabaya kumbe yanakusudi
LAKINI KATIKA YOTE HAYO TULIKUONA BWANA UKITETEA MAISHA YETU YASIDHULUMIWE
my best song ever
Big up sana kwake he is truly gospel singer
Huu wimbo Ni mzuri Sana