Guru Dev
JF-Expert Member
- Jun 25, 2025
- 487
- 680
Umeangalia nini...?? Macho??Jamaa inaonekana ni mtu wa kazi.
Umeangalia nini...?? Macho??Jamaa inaonekana ni mtu wa kazi.
Yani huyo jamaa kwisha habar yake nakuambia ndio umetoka hio...This one also? Yaani watu wengine ni wepesi kupotea kiasi hiki. Wewe, tumepoteza wananchi wengi na mpaka sasa viroba vinaendelea, yeye anaenda kujiungamanisha na CCM. Jamaa kajiunga na Pharaoh!