Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
kuna ile nifundishe kuombaHabari za jioni wana jamvi, nimekua nikimfuatilia huyu mwimbaji wa nyimbo za injili kwa miaka mingi sana.
Huyu jamaa kwa sasa ndiyo icon ya nyimbo za injili utunzi wake ni wakipekee sana, nyimbo zake zimetulia mno, natamani waimbaji wote wamtafute wajue nini siri ya mafanikio kwenye uimbaji wake
Baadhi ya nyimbo zake ni
- Nimekumbukwa
- Mwana wa Azali
- Upendo wa kweli
- Natamani sana
The best song ever.Nabarikiwa Sana na nyimbo zake hasa wimbo wa TULIKOTOKA
"Mengine yalikuja kama mema
Mwisho ukawa mbaya
Mengine yalikuja kama mabaya
Kumbe yanakusudi
Lakini katika yote hayo
Tulikuona Bwana
Ukitetea maisha yetu
Dhidi ya hatari mbaya"
Anaweza kuburudishaHuyu dogo yuko juu ila ukimfuatilia ni kama na yeye anawaza kuanzisha kanisa lake.
KwakweliNabarikiwa Sana na nyimbo zake hasa wimbo wa TULIKOTOKA
"Mengine yalikuja kama mema
Mwisho ukawa mbaya
Mengine yalikuja kama mabaya
Kumbe yanakusudi
Lakini katika yote hayo
Tulikuona Bwana
Ukitetea maisha yetu
Dhidi ya hatari mbaya"
MmhAnaweza kuburudisha
Kwa kanisa sidhan bado mweupe sana kichwan ni farisayo
Niliona mahali ame comment upuuzi kwenye hoja ya kweli...Mmh
Unapimaje kuwa kichwani mweupe?
Aah okayNiliona mahali ame comment upuuzi kwenye hoja ya kweli...
Nikajua yuko kidini na kikanuni zaidi badala ya kuwa kiroho kama walivyokuwa mafarisayo washika sheria
Alijibu anachokijuaNiliona mahali ame comment upuuzi kwenye hoja ya kweli...
Nikajua yuko kidini na kikanuni zaidi badala ya kuwa kiroho kama walivyokuwa mafarisayo washika sheria
Nenda isikilize nyimbo yake mpya inaitwa ALIKUTA IBADA kisha Rudi hapa tena umwite farisayoAnaweza kuburudisha
Kwa kanisa sidhan bado mweupe sana kichwan ni farisayo