Ambwene Mwasongwe kwa sasa ndiyo icon ya nyimbo za injili

Binafsi namuona ni mwimbaji wa kawaida sana kwenye injili. Uimbaji wake mwingi ni ule ule, anaimba hadithi zake binafsi tu alizozipa melody (huenda ni true story lakini nyingi hazipo ndani ya Biblia). Sioni kama ana kidhi kuwa Icon wa muziki wa gospel.

Kiujumla Ambwene Mwasongwe ni mburudishaji na sio muinjilishaji. Yule ni Bahati Bukuku aliyechangamka.
[emoji16][emoji16][emoji16] Kumlinganisha na Bukuku umeenda mbali sana
 
Binafsi namuona ni mwimbaji wa kawaida sana kwenye injili. Uimbaji wake mwingi ni ule ule, anaimba hadithi zake binafsi tu alizozipa melody (huenda ni true story lakini nyingi hazipo ndani ya Biblia). Sioni kama ana kidhi kuwa Icon wa muziki wa gospel.

Kiujumla Ambwene Mwasongwe ni mburudishaji na sio muinjilishaji. Yule ni Bahati Bukuku aliyechangamka.

[emoji848][emoji848]
 
Aliyekuambia story za kuelezea ukuu wa Mungu lazima zitoke ndani ya Biblia ni nani?

As if wakati Biblia ndio Mungu alitenda makuu na sasa amelala?
 
Nyimbo zake zinaanza kwa story kwanza, halaf ndo mafunzo. Mwamba sana huyu
 
Nani atajua story ya mwimbaji ni kweli ikiwa haiko ndani ya Biblia?
Kuna story nyingi sana ndani ya Biblia ambapo mwimbaji wa injili anapaswa kuzitengenezea nyimbo zikaelewa na kuleta uhalisia.
Sasa mwimbaji wa Injili anapokwepa kutengeneza nyimbo kwa kutumia Biblia, atakuwa na tofauti gani na kina Juma Nature, Jux, Marioo, Zuchu?
 
Nyimbo zake zinaanza kwa story kwanza, halaf ndo mafunzo. Mwamba sana huyu
Hiyo ni Copy&Paste ya Bahati Bukuku.
Bahati Bukuku alitikisa sana kwenye gospel kwa style ya nyimbo za story, ilianza kwa story kutoka moja kwa moja kwenye Biblia, pesa iliponoga akaamua kuja na story zake za kubuni.
 
Sio lazima ukariri mambo ya miaka elfu 3 iliyopita. Wakati maisha yanaendelea mpaka sasa, na ushuhuda unaopatikana kwenye mazingira halisi una matter kuliko mastory ya zamani
 
Boaz wimbo wake wa uongezeke nauelewa sana, jamaa anakuja kasi sana.
Na wimbo mpya wa "Unaweza" (Yeremia18) ameutendea haki!
ni balaa
Nachompendea, ukimsikiliza nyimbo zake, ni mwimbaji anaesoma neno la Mungu ,haimbi tu Ili mradi kaimba au katunga nyimbo!

"Ninakupenda"

Kile kipande Cha
..ukaona lugha yangu haitoshi..
Ukanipa ya kwako Ili tuongee vzr
Mimi na wewe
Kwa Roho Mtakatifu
Sasa Nina Nena
Tunaongea Kwa Siri Mimi na wewe...
Ninakupendaaaa Yesuuuu
 
Back
Top Bottom