Ambwene Mwasongwe: Mwanamuziki bora kabisa wa Injili ambaye hatajwi sana

Huyu Mtumishi Wa mungu kwanza ni muombaji sana nadhani ndio maana hata nyimbo anazotoa hua ni za kutoka rohoni kiukweli, Kama utamchunguza kwa makini nyimbo zaku zina uponyaji ndani yake, pia ni mnyenyekevu sana, ni miongoni mwa waimbaji wachache wa injili kwenye hofu ya mungu amen.
 
Public na ndio kaanzisha post yake inayohusu kumsifia nyimbo zake,kama unamfahamu ni muasherati na una evidence fungua post yake.
I don't have blog any way...
Maserati kumbuka sio kila mtu unatakiwa kumjibu. Mtu kama huyu haihitaji kujibiwa chochote. Kwake kukaa kimya is the best answer. Humu jf kuna cheap attention seekers wengi kila uzi wanacomment hata ukiandika vitu vya kidaktari na ana ujuzi 0 atacomment tu. Ilikuwa inanisumbua sana kuwajinu ila nlivyowajua nlikuwa nawaacha tu. I know wali/wanajiona mabwege. So better usiwajibu
 
Na kweli yaani..
 
Back
Top Bottom