gogogumu
Member
- Jul 30, 2013
- 52
- 44
Huyu Mtumishi Wa mungu kwanza ni muombaji sana nadhani ndio maana hata nyimbo anazotoa hua ni za kutoka rohoni kiukweli, Kama utamchunguza kwa makini nyimbo zaku zina uponyaji ndani yake, pia ni mnyenyekevu sana, ni miongoni mwa waimbaji wachache wa injili kwenye hofu ya mungu amen.