Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
anafahamika kama a.y katika tasnia ya muziki lakini birth certificate anajulikana kama ambwene yesaya ni moja kati ya watusanii wanaojua nini wanafanya katika game ya muziki na kuweza kufanya vizuri nje na ndani ya tanzania kwa info zilizopo ni kwamba a.y ameweza kuwa nomited katika tuzo za muziki cha channel o na kuweza kushindana na p square,wizkid na wasanii wengine wakubwa kutoka afrika thi is a big stape for a.y and tanzania music tafadhali wanajamvi tumpe nguvu a.y kwa kumpigia aweze kurudisha heshima nyumbani (VOTE FOR A.Y)
yap ni msanii mzuri alotulia.nitampigia kura 2elekezane tu namna ya kuvote jamani
but why always AY for channel O staff??? every year ni yeye, is he really that undisputed??
Anafahamika kama A.Y katika tasnia ya muziki lakini birth certificate anajulikana kama Ambwene Yesaya ni moja kati ya wasanii wanaojua nini wanafanya katika game ya muziki na kuweza kufanya vizuri nje na ndani ya Tanzania.
Kwa info zilizopo ni kwamba A.Y ameweza kuwa nomited katika tuzo za muziki cha channel O na kuweza kushindana na P square,Wizkid na wasanii wengine wakubwa kutoka afrika thi is a big stape for A.Y and Tanzania music.
Tafadhali wanajamvi tumpe nguvu A.Y kwa kumpigia kura aweze kurudisha heshima nyumbani (VOTE FOR A.Y)

Kwa hiyo huyu bwana anamfunika Almasi-Platinum?
Huyu jamaa ana zali la kufanya colabo na wasanii wakubwa lakini anaimba pumba tupu.
Tunazungumzia mafanikio ya kimuziki,category aliyopo sio ya maudhui.
Notifeki ay ana zali tu,anaimba pumba ilo lilikuwa jibu la comment yake
Umeanza huna hata hayaHuyu jamaa ana zali la kufanya colabo na wasanii wakubwa lakini anaimba pumba tupu.