Ambwene Yesaya (A.Y): The most gifted male artist

hoya mapondela watu kama hawa hawakufaa kuwepo jf ilitakiwa wawepo fb halafu anajiita believer, he believe damn things!!!!

yusufu usipende kukurupuka kaka ili uonekane unajua mambo,angalia mtiririko wa comment zangu kabla hujaandika kutukana watu,ktk mtiririko wa comment zangu,nimemshangaa mtu anaejiita notifeki kwa kusema AY anaimba PUMBA,nikareply juu ya comment yake,kimsingi namkubali AY kwa hustle zake.

Lakini ndugu Yusufu hata km ikitokea mtu anacomment against ur wish,ni jambo la kawaida tu ndio maana hii ni forum,tunatarajia mawazo tofauti tofauti,kwa lugha unayotumia against me si sawa jirekebishe.
 
samahan kaka sikuelewa vizuri na elewa kuwa hakuna mkamilifu mwanangu believer tusamehane kaka naheshimu mchango wa mawazo yako katika thread unazochangia na katika thread yangu pia narudia tena hakuna mkamilifu tuko pamoja believer!!!!!!!
 
one luv,
one blood,
one forum,
jamii forum.
 
Naunga mkono hoja!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hata me sioni wimbo wowote mzuri AY AMEwahi kuimba nashangaa ni kwa vp anawika.
angalizo: sina wivu na mafanikio yake ila sioni kipaji chochote kutoka kwake

Huyu jamaa ana zali la kufanya colabo na wasanii wakubwa lakini anaimba pumba tupu.
 
hata me sioni wimbo wowote mzuri AY AMEwahi kuimba nashangaa ni kwa vp anawika.
angalizo: sina wivu na mafanikio yake ila sioni kipaji chochote kutoka kwake

yap ndivyo ilivyo kuna watu hawamkubali Diamond plutnum lakin bado anachukua tuzo kila mwaka! Kwaiyo ni kitu cha kawaida tu!
 
hadi p-Square yupo juu sana, hadi anashindanishwa na AY?
 
Back
Top Bottom