Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
- Thread starter
- #21
Umeanza huna hata haya
hoya mapondela watu kama hawa hawakufaa kuwepo jf ilitakiwa wawepo fb halafu anajiita believer, he believe damn things!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza huna hata haya
hoya mapondela watu kama hawa hawakufaa kuwepo jf ilitakiwa wawepo fb halafu anajiita believer, he believe damn things!!!!
yusufu usipende kukurupuka kaka ili uonekane unajua mambo,angalia mtiririko wa comment zangu kabla hujaandika kutukana watu,ktk mtiririko wa comment zangu,nimemshangaa mtu anaejiita notifeki kwa kusema AY anaimba PUMBA,nikareply juu ya comment yake,kimsingi namkubali AY kwa hustle zake.
Lakini ndugu Yusufu hata km ikitokea mtu anacomment against ur wish,ni jambo la kawaida tu ndio maana hii ni forum,tunatarajia mawazo tofauti tofauti,kwa lugha unayotumia against me si sawa jirekebishe.
samahan kaka sikuelewa vizuri na elewa kuwa hakuna mkamilifu mwanangu believer tusamehane kaka naheshimu mchango wa mawazo yako katika thread unazochangia na katika thread yangu pia narudia tena hakuna mkamilifu tuko pamoja believer!!!!!!!
one luv,
one blood,
one forum,
jamii forum.
Huyu jamaa ana zali la kufanya colabo na wasanii wakubwa lakini anaimba pumba tupu.
hata me sioni wimbo wowote mzuri AY AMEwahi kuimba nashangaa ni kwa vp anawika.
angalizo: sina wivu na mafanikio yake ila sioni kipaji chochote kutoka kwake