Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Anafahamika kama A.Y katika tasnia ya muziki lakini birth certificate anajulikana kama Ambwene Yesaya ni moja kati ya wasanii wanaojua nini wanafanya katika game ya muziki na kuweza kufanya vizuri nje na ndani ya Tanzania.
Kwa info zilizopo ni kwamba A.Y ameweza kuwa nomited katika tuzo za muziki cha channel O na kuweza kushindana na P square,Wizkid na wasanii wengine wakubwa kutoka afrika thi is a big stape for A.Y and Tanzania music.
Tafadhali wanajamvi tumpe nguvu A.Y kwa kumpigia kura aweze kurudisha heshima nyumbani (VOTE FOR A.Y)