- Thread starter
-
- #21
Hahahahaaaain general hii industry ina tatizo kubwa sana. kuanzia watangazaji, wamiliki nk. yan station za siku hizi ni ujinga mtupu kusikiliza. mmiliki anaajiri mashoga, wambea, chawa, watu hawajui ueledi yan ukiweza kuropoka maneno ovyo tu unaajiriwa. hivi mwajiri unawezaje kuajiri mtu kama juma lokole ktk radio yako? ili uionyeshe au uiambie nn jamii? Huku kwenye uchambuzi wa soka ndo balaa wameona chaka la kujificha mtu hajui lolote kuhusu soka analisemea soka. yan shida tupu. radio hakizingatii ratiba. kipindi kinaisha saa 1 kamili wao wanabwabwaja hadi saa 1 na robo. mara wanamualika mgeni wanamuuliza swali kabla hajajibu wanamkatisha sijui tangazo. mara mchongo pesa vurugu tupu