Ameandika Edo Kumwembe

Ameandika Edo Kumwembe

in general hii industry ina tatizo kubwa sana. kuanzia watangazaji, wamiliki nk. yan station za siku hizi ni ujinga mtupu kusikiliza. mmiliki anaajiri mashoga, wambea, chawa, watu hawajui ueledi yan ukiweza kuropoka maneno ovyo tu unaajiriwa. hivi mwajiri unawezaje kuajiri mtu kama juma lokole ktk radio yako? ili uionyeshe au uiambie nn jamii? Huku kwenye uchambuzi wa soka ndo balaa wameona chaka la kujificha mtu hajui lolote kuhusu soka analisemea soka. yan shida tupu. radio hakizingatii ratiba. kipindi kinaisha saa 1 kamili wao wanabwabwaja hadi saa 1 na robo. mara wanamualika mgeni wanamuuliza swali kabla hajajibu wanamkatisha sijui tangazo. mara mchongo pesa vurugu tupu
Hahahahaaaa
 
Tansnia nzima ya habari imejaa watu wasio na elimu husika, full makanjanja
Naunga mkono hoja, tasnia ya habari imevamiwa na kada ya makanjanja ila sio fair kusema ni tasnia nzima!, as if waandishi wote wa habari, sote ni makanjanja!. Its not and its not fair.

Makanjanja wapo na pia kuna waandishi makini, wazuri, na wazalendo wa kweli wa nchi hii ambao ni majasiri na hawaogopi kumuuliza swali lolote kiongozi yoyote!. Kuwaita wote ni makanjanja sio kuwatendea haki!.
P
 
Labda nimeeleweka vibaya, namaanisha kila mahali kwenye hiyo tasnia kuna makanjanja. Hii kauli haiondoi ukweli kwamba wapo wanahabari wenye elimu husika na wenye kufanya kazi zao kwa uweledi
 
in general hii industry ina tatizo kubwa sana. kuanzia watangazaji, wamiliki nk. yan station za siku hizi ni ujinga mtupu kusikiliza. mmiliki anaajiri mashoga, wambea, chawa, watu hawajui ueledi yan ukiweza kuropoka maneno ovyo tu unaajiriwa. hivi mwajiri unawezaje kuajiri mtu kama juma lokole ktk radio yako? ili uionyeshe au uiambie nn jamii? Huku kwenye uchambuzi wa soka ndo balaa wameona chaka la kujificha mtu hajui lolote kuhusu soka analisemea soka. yan shida tupu. radio hakizingatii ratiba. kipindi kinaisha saa 1 kamili wao wanabwabwaja hadi saa 1 na robo. mara wanamualika mgeni wanamuuliza swali kabla hajajibu wanamkatisha sijui tangazo. mara mchongo pesa vurugu tupu
Unawalaumu tu bure Wamiliki wakati wao wanaangalia tumweke Nani ili tupate wasikilizaji wengi Unaweza kumdharau Juma lokole lakini ukienda kwenye page yake anawatu wengi wamemfollow na hii ni kwasababu watanzania wengi wanapenda umbea anaowapostia huyo Juma lokole hata ukiangalia kwenye hicho kipindi Cha kina lokole kwenye segment ya umbea ndio inawasilizaji wengi Sana
 
Hivi Edo Kumwembe naye ni mchambuzi wa soka? Ni lini amelijua soka hata kuwa mchambuzi wa soka? Ni lini amecheza soka kwa kiwango cha juu kisha kujiweka kwenye uchambuzi wake? Anawalaumu bure wenzake maana wote wao na yeye soka hawalijui. Afadhali wenzake wameona wajazie upungufu wao kwa kuchambua yasiyohusiana na soka lakini angalau yako jirani na soka na wanaweza kuzoza hapo!!

Uchambuzi wa soka hapa bongo waachiwe kina Ally Mayai Tembele na wenzake waliowahi kuujua na kuucheza mpira!! Nyie akina Kumwembe mnakera sana wala huna tofauti yoyote na wenzako!!
Una msongo wa mawazo
 
Naunga mkono hoja, tasnia ya habari imevamiwa na kada ya makanjanja ila sio fair kusema ni tasnia nzima!, as if waandishi wote wa habari, sote ni makanjanja!. Its not and its not fair.

Makanjanja wapo na pia kuna waandishi makini, wazuri, na wazalendo wa kweli wa nchi hii ambao ni majasiri na hawaogopi kumuuliza swali lolote kiongozi yoyote!. Kuwaita wote ni makanjanja sio kuwatendea haki!.
P
Ni kweli
 
Ukanjanja unaanzia pale mnapotumia taaluma yenu vibaya kama wewe ulivyom-blackmail yule dada kuwa una habari zake akupe penzi ili usimuandike na matokeo yake juzi umekutana naye kwenye pannel ya mchujo wa ccm ukiwania nafasi za ubunge wa EA.
NB:
Risiti yako hii hapa : A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
 
Hivi Edo Kumwembe naye ni mchambuzi wa soka? Ni lini amelijua soka hata kuwa mchambuzi wa soka? Ni lini amecheza soka kwa kiwango cha juu kisha kujiweka kwenye uchambuzi wake? Anawalaumu bure wenzake maana wote wao na yeye soka hawalijui. Afadhali wenzake wameona wajazie upungufu wao kwa kuchambua yasiyohusiana na soka lakini angalau yako jirani na soka na wanaweza kuzoza hapo!!

Uchambuzi wa soka hapa bongo waachiwe kina Ally Mayai Tembele na wenzake waliowahi kuujua na kuucheza mpira!! Nyie akina Kumwembe mnakera sana wala huna tofauti yoyote na wenzako!!
KAPIMWE AKILI....
 
Huyu Kumwembe ni mnafki sana aisee[emoji1]
Ina maana na yeye amejitoa kwenye hilo group, au anafikiri tumesahau alichokipost kwenye account yake ya Instagram kipindi kile cha usajili juu ya Aziz Ki?
Sio yeye aliyehaminisha watu kuwa Aziz Ki amepewa pre contract na Simba na huku akipost mkataba feki kabisa?
Unafki haufai kabisa hasahasa kwa mtu mzima kama yeye.
 
Kuwa na upande wala sio tatizo, wachambuzi wakubwa huko Ulaya nao huwa wana timu zao ila wanajua kuzingatia weledi.
shida ina anzia hapa wachambuzi wote wana upande sasa kinacho tokea sio uchambuzi tena ni kusifia upande wake iwe yanga au simba
 
Hiv mkuu hapa bongo unashabikia timu gani kati ya Simba na Yanga????

Back
Top Bottom