Ameandika Polepole: Dios los bendiga a todosEmbajador Tanzano designado en Cuba

Ameandika Polepole: Dios los bendiga a todosEmbajador Tanzano designado en Cuba

Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....

ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???

Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????

Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.

AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
 
Polepolee ndio menaja wa kampuni uncle 🤣🤣
 
Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....

ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???

Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????

Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.

AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
Sote tunajua kazi ya Polepole ni ya kizalendo na kutukuka

Masuala ya fursa, wee tulia ,Balozi aanze kuichapa kazi.

Kuhusu mtoa madaz Mimi ndhan wee ndio mjinga, mtoa madaz kaleta kama kuchangamsha genge tuu siku ziende.

Sasa wee Kujifanya una akili sana umejikuta unaenda mbali sana , Huu uzi unataka uchangiwe Kwa akili za kitoto toto tu hata kama una PhD !!.
 
Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....

ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???

Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????

Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.

AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
Kwani ni vibaya boss. Kazi ya google ni nini kwani?
 
Back
Top Bottom