Ameandika Polepole: Dios los bendiga a todosEmbajador Tanzano designado en Cuba

Ameandika Polepole: Dios los bendiga a todosEmbajador Tanzano designado en Cuba

Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....

ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???

Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????

Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.

AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.

Те из нас, кто изучает Кубу, уже поняли​

 
Jinsi hawataki kumuona anafuraha, wanaweza wakamuhamishia Haiti akasombwe na vimbunga wafurahi na roho zao.
 
Back
Top Bottom