Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Na kukanyaganaapo chadema wanatafutana
Lazima watafutaneapo chadema wanatafutana
Anaitumia vizuri Google translate, safi sana Balozi.Nimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA.
Ameandika "Dios los bendiga a todos
Embajador tanzano designado en Cuba"
God bless you allAnaitumia vizuri Google translate, safi sana Balozi.
Google translatorNimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA.
Ameandika "Dios los bendiga a todos
Embajador tanzano designado en Cuba"
Polepolee ndio menaja wa kampuni uncle 🤣🤣Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....
ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???
Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????
Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.
AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
Hapana boss mimi nifuasi wa Pole Pole, nazikubali itikadi zakePolepolee ndio menaja wa kampuni uncle 🤣🤣
Kwani ni vibaya bossGoogle translator
Sote tunajua kazi ya Polepole ni ya kizalendo na kutukukaBaadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....
ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???
Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????
Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.
AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
Google translator ina kazi gani?Nimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA.
Ameandika "Dios los bendiga a todos
Embajador tanzano designado en Cuba"
Kwani ni vibaya boss. Kazi ya google ni nini kwani?Baadhi ya Members Jamii forum dahhhhh.....
ANATUMIA Google translate.....
Mbona ishu ya kawaida sana???
Hii nayo ni ishu ya kukaa na kujadiliana watu wazima kweli?????
Kuna ishu za Ajira.
Mikopo.
Maslahi ya Nchi.
Katiba mpya.
Kilimo.
Mazingira.
Jkt/ jwtz, police nk
INASIKITISHA sana.
AMA KWELI ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI SANA.
Nimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA.
Ameandika "Dios los bendiga a todos
Embajador tanzano designado en Cuba"
[emoji38][emoji38][emoji38]..lugha ya taifa ya Cuba sio " Kicuba. "
..tafadhali fanyia marekebisho hoja yako.