Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Wajati mwingine muache aende......

Hujui unaepushwa na nini....

Wanaume wenyewe hawa wengi ni vitunguu maji....
 
Reactions: Luv
Vijana tumekuwa ovyo Kama mahari waombe washushe

Mi nashangaa kipind nasoma chuo kuna demu alivalishwa Peter ya uchumba kiji sherehe kidogo kutambulishwa tukajua tayar mpaka miak miwili mbele eti ndoa bado ila ni mda sijafualia miaka imepita sijui walioana
 
Shida hapa tumesikia ya upande mmoja.
Na bahati mbaya wanaume huwa hatusemi ya upande wetu tunakaa kimya na kupotea nayo.
Lakini kwa mtu ambaye alikuwa na nia ya kuoa kupotea hivi hivi sio rahisi.
Kuna sababu kubwa Sana.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Bora hata huyu.
Sasa Kuna mwingine Ile tu jamaa alivyojitambulisha kwao akahamia kwa binti.
Kumbe kazi alishafukuzwa akazuga ili apate pa kulelewa.
Akazuga mwaka mzima na hakwenda kulipa mahari.
Alivyopata kazi akasepa na kuoa mwanamke mwingine.
Wana akili kwani hawa?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu siku hz analamika kuhus hiki swala la kutambulishana na watu kuingia mitini Kuna mdada nilimuona anamlaumu mtu Instagram anaitwa wililiam kwani jamaa ameingia mitini dakik za mwisho kbsa Sasa hata ndgu yangu aliingia mitini dakiika za mwisho kbsa na soda na sukari zimekwisha nywewa jamaa kaingia mitini na kwenda kuoa familia nyingine kwa tajiri Zaid

Siku moja Niko nae mahali aniniambia maswala mm kuoa ndio nikamuuliza broo mbna uliingia mitini kwa dada yule na tunasikia had soda ulizipeleka mnk cc kabila letu kuchumbia unaanza kwanza kwenda na soda kreti mbili na sukari kilo ,25 bas broo akanimbia kuwa anamshukuru mungu kwa kumtoa kwa yule bint kwani inasemekana demu alikuwa anagawa Sana k kwa Rika lote yaani
 
Usimcheke bas yatakukuta
 
Muachage tamaa, mzazi anakua kama anauza bint yake vile
 
Mkuu kwani alikuja kwenu bila wewe kumpa hints za taratibu za kuoa huko kwenu?Kwa kawaida lazima kwanza uongee na mama yako akupe hints za uoaji huko kwenu ili mkuwe na rough idea ya nini kinatakiwa na kama kuna uwezo wa kutoa.Kama hakuna mnajichanga wewe na yeye.Ama la mnafanya kimya kimya.

Sasa wewe umemleta kwenu kavaa vizuri,ananukia vizuri wazazi wakaamua kumpima kisha akakimbia hapo tatizo lipo.Kama ni wako ni wako tu ila kama sio wako niambie hio mahari alokimbia ni kiasi gani ili nikupe nia nyepesi ya kutoroka humo.
 
Japo huu mwandiko ni wakiume ila ushauri wa bure kitendo cha kumwambia aje na mahari yoyote iliyopo naamekataa automatically sisababu tena yakusingizia. Usifosi huyo hakutaki na ndoshida yakutinduliwa na mtu mmoja kwa mda mrefu tukiwatongoza mnasema nina boyfriend, boyfriend ndohuyo sasa umekuja kuomba ushauri ukiwa unatoa makamasi
 
Sasa hayo maisha ya kihuni utaishi hivyo hadi lini @ Mzabzab a.k.a mzee wa mbususu? [emoji38]
Nitaishi hivyo mpaka nakufa mzeya.
Wee wala usiumize kichwa kaka ndani ya miaka kumi ijayo, wanawake watakuja kutuomba tuwaoe ata wakiwa wake wa pili. So sina haraka i know when the time is ryt warembo wataleta mbususu zao wakiomba niwe mme wao
 
Noma sana, yaani siku hizi wadada wana mtihani sana kuwa na uhakika wa asilimia 100 kwamba ndoa itafungwa kwasababu dakika za mwisho mwanaume anaweza kubadili uamuzi.
 
Je ulicho tueleza hapa ni kweli wewe hujakosea popote? Kama jibu ni ndio basi fanya hivi.

1.Usimtafute kwa njia yeyote, iwe sms wala call
2. Usionge chochote kwa ndugu zao
3.usiongee mahusiano yeyote kwa sasa
4. Ikipita miezi miwili njoo utuandikie hapa majibu utakayo pata.

Si unaweza kufanya hivyo?
 
Umeupiga mwingi....haya maneno yachongewe fremu ya dhahabu...madini matupu
 
Noma sana, yaani siku hizi wadada wana mtihani sana kuwa na uhakika wa asilimia 100 kwamba ndoa itafungwa kwasababu dakika za mwisho mwanaume anaweza kubadili uamuzi.
Ila sasa uwakjte huku kwenye marimba ya mzungu, full nyodo mara nataka mwanaume mwenye degree, mara sijui ana gari mara sijui tall dark and handsome...tafikiria wanaridhika na de libolo moja.

Swali kwao kwani kuolewa ni lazima? Maana kama kugeggedwa mwanamke hawezi kosa de libolo na pia ata mimba akitaka atapewa akalee mwenyewe.
 
Wabadilike kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…