Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Izi situation zipo sana chamsingi ni kupiga konde moyo wako na kuuambia ukubaliane na matokeo halisi na Mungu ata kubless
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
 
Realty
Me nakushauri ktk yote USIJARIBU KUJIDHURU au KUDHURU, maisha ndio haya haya, wakat mwingine amini Mungu anakusudi kwa kila jambo linalotokea maishani mwako, liwe baya au zuri... Jikaze ishi maisha yako ya kawaida jipe furaha na amani, ukiwaza sana utakufa kwa presha na ugonjwa moyo...

WANAWAKE ambao hamjaolewa naomba niwaambie jambo, mwanaume akikuambia sasa siku fulani nataka nije kwenu kujitambulisha na kutoa mahali, jitahid sana kuwa mtulivu vuta hata wiki mbili au mwezi upime na uchunguze kama kweli anamaanisha (then mdanganye mwambie ushawajurisha ndug zako)
Baada ya hizo wiki 2 au mwez kupita, wajurishe wazaz/walez wako tu tena waambie wafanye siri, hakikisha ndug wengine wa muhimu unawaambia siku zikiwa zimebak chache hata kama ni siku 3 au 5 kabla ya tukio. Kwasabab wao hawana ulazima wakujurishwa mapema... Marafiki ndio hawafai kabisa ni bora uwaambie siku ya tukio au kutowaambia kabisa...
SIJUI KAMA NAELEWEKA, ni hivi mara nyingi sana hali ya migogoro hujitokeza baada ya wapendanao kuamua kuhalalisha mahusiano yao mbele ya wazaz na jamii, kwa njia ya mahali na kufunga ndoa. Huu ndio wakat shetan hutumia watu wengine kuharibu mahusiano hayo kwa njia ya kupenyeza maneno mabaya, uchawi na hila nyinginezo...
Ukitaka kujua hilo uliza watu walio ktk ndoa ktk watu 10 basi 5 watakuambia changamoto walizokutana nazo hadi kutamani kuacha zoez la mahali au ndoa...
Mimi nakumbuka nilijikuta tu siku za kutoa mahali zinakaribia ila sina morali yakwenda kutoa mahali na nitamani kuhairisha bila sababu ya msingi, Mungu ni mwema nilifanikisha...
Wanawake mtambue nyie mpo ktk risk kubwa sana ya kuharibiwa kisaikolojia kwa matukio kama hayo. Mwanaume ukimwambia umeghairi kupokea mahali yake siku 3 kabla ya tukio, usishangae the same day anatoa mahali kwa mtu mwingine, the moment mwanaume anakutambulisha kwao basi ujue kuna wanawake wengine wawili au watatu amewatambulisha na wote anaona wanafaa kuwa mke...
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
Hapa ndio mtu hata alikua hajui ushirikina huanza kuutafuta.
 
Enzi zangu kuna dem alinipiga na kitu chenye ncha kali, alinivuruga sana fala yule kuna siku nikawaza labda nimseme kwa mama ndo ataeleweka.
 
Shalom ni salamu ya Watakatifu! Kama ulianza naye kwa UASHERATI usishange ikiwa hivyo!
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
Hapo tafuta mchumba mwingine, hakuna ndoa tena.
Au potezea suala la mahusiano na yeye kwa muda ili akili imkae sawa
 
Shetani huwa hapendi mambo ya Ndoa. Utahangaika kumu judge mwenzio bure wewe Tubu kwamba hamkumshirikisha Mungu na kwamba mlikuwa waasherati. Omba msaada wa Yesu wewe acha kabisa haya mambo yaone hivi hivi. Jipinde kwenye maombi ukipinga kila hila. Usimuache aende. Mimi bana Mkwe Hakutaka hata niende kwao na mwanamke akawasikiliza ati sina kazi. Binafsi sitaki kazi zaid ya ufugaji nikalia na bwana Yesu waliachia wote kama upofu hivi nikaoa afu wakawa macho hata mawasiliano nao sio mazur hawanikubal mi na wife tunadunda tu. Wewe pambana omba mpaka hatua ya mwisho. Najua hizi mambo mimi Naomba nikusaidie kuomba kama huwezi Njoo inbox.napenda kuomba kama ipo bas itakuwepo kama haipo bas. Naamin mkono wa Mtu na ni Nuksi kwenye familia
 
"SHUKURUNI KWA KILA JAMBO" HILI NENO LINAKUWA ZURI NA TAMU SANA KWA JAMBO AMBALO NI LA FURAHA, ILA JAMBO LIKIWA CHUNGU AU LA HUZUNI HILI SWALA LINAKUWA GUMU.
NINACHOTAKA UELEWE NI KWAMBA "ANYTHING HAPPEN FOR A REASON (S)" DADA YANGU KAMA KUNA KOSA UMEMFANYIA MUOMBE MSAMAHA KISHA NYAMAZA ILA KAMA HUJAFANYA LOLOTE BAYA MUACHE MUNGU AITWE MUNGU.MSHUKURU MUNGU SANA KWA SABABU HUJUI KAKUEPUSHA NA LIPI MPAKA HILO JAMBO LISITIMIE.
 
Hilo ni shambulio,huwakuta wengi,ushauri utaupata mwingi ila ushauri wa maneno matupu ni wa kukupa wewe nguvu sio kukusaidia kutatua,Jisafishe
 
Pole sn dada Naa
Mimi naamini itilafu imeanzia ktk tofauti za kifemilia, Kuna kipengele akilingani. Pia kijana ajamechua kua mume so anatii maamuzi ya wengine zaid ya kwake mwenyewe so naww usifanya maamuzi mabaya ili kulizisha wanafemilia wako ili uonekane perfect and innocent.
Imani inakubaliana na waenga kua "Ndoa upangwa mbinguni, pia tunasali na kuomba kuepukana na mabalaa, amini kua uyo jamaa ni balaa kwako.
Jipe mda relux in proper way ili maumivu yaeze kupungua maisha yanaendeea. Jikubali ww ni mzuwr sn na Bado unauzika utapata mwengine alie mwema zaid. Jamaa mpe ukimya anawezakugundua amekosea wap akajisawazisha mwenyewe.
Kaza moyo mrembo Baki na Mungu
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
Pole sana. Mahari aliyopangiwa na your net worth moyoni mwake haviendani akaamua kubwaga manyanga.
 
Bado anakula mbususu au !!??? Tatizo mahari zimekuja kuwa kama kufidia malezi ya watoto wa kike ..... Mtu unamtajia mahari kama unaenda kufungua duka la vifaa vya ujenzi.
 
Back
Top Bottom