Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Khah ! kumbe muhusika mwenyewe ni WEWE ????
mhhh!! kumbe!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khah ! kumbe muhusika mwenyewe ni WEWE ????
Karibu mkuu...Ozziri:Umenifariji sana..umenitia Moyo!nimejfunza na umenipa darasa zuri sana!God Bless You!
Nadhani alimalizia kwa kuandika, 'huzuni yake ni yangu pia.' Lakini hata kama ni yeye muathirika, ushauri utabaki uleule, na jambo zuri zaidi; huu si wakati wa kulaumu au kunyosheana vidole. Hatutamsaidia mlengwa.Khah ! kumbe muhusika mwenyewe ni WEWE ????
Jamani smily wote tukiwa wachokozi nani atamtuliza mwenzie lol!mhhh!! kumbe!!!!
Jamani smily wote tukiwa wachokozi nani atamtuliza mwenzie lol!
Mkuu umenikumbusha mbali!Kupima hata mahospitali ya binafsi yanapima....................ila kwa kutoa ushauri wengine hawana hata muda......utafikiri anakuambia ukapime malaria................nimemshakumbana nao kama mara mbili...................sipendi kuzitaja hizo hospitali.
Yaani unamwambia docta,mimi ningependa kupima na vvu..............anakuuliza tu "umewahi kupima".......unamjibu hapana......anauliza tena "kwanini unataka kupima" ....unajibu nataka kujua afya yangu.............anakwambi, "ok....nimekuandikia tayari.....watakupima"!.................hivi hapo kakushauri nini?
Mimi nilimaanisha apate ushauri nasaha ambao utamuweka sawa ndio akapime..............mara nyingi AMREF wako makini na wanawashauri nasaha wazuri sana.
Akikurupuka na kwenda private hospital, sitanii....tunaweza kumpoteza iwapo atajikuta ameathirika kwani atakuwa ameongeza stress.
si hii Keren-Uporoto team lol!Mhhhh!! Sasa nani mchokozi hapa jamani...!!??..🙂
si hii Keren-Uporoto team lol!
Huduma za kupima VVU hutolewa bure. Na ushauri nasaha pia. Sasa hospitali tajwa zina staff wachache, na haitakuwa haki kutaka mshauri nasaha ambaye mara nyingi ni nesi, kumwambia atumie angalau dakika 30 kwa ajili ya mtu mmoja anayetaka kupima VVU wakati kuna kazi nyingine kibao za kuhudumia mafuriko ya wagonjwa. Kama huduma hii ingetolewa kwa gharama fulani, yamkini hizi hospitali zingeweza kuajiri watu maalumu kwa huduma hii. Hao ANGAZA and the likes, wanapata misaada mikubwa sana ya upande tu wa kupima HIV, na hivyo wanastahili kutoa huduma nzuri ya ushauri nasaha; labda nenda pale ANGAZA na kidonda halafu ona kama utapata huduma (hata huduma ya kwanza tu)kama utakazopata hospitali zinazolalamikiwa.Mkuu umenikumbusha mbali!Hata mimi niliwahi kwenda kupima ktk hizi hospital za binafsi,yaani hawana ushauri kabisa.Kilichonisaidia ni kuwa nilikuwa najiamini kuwa sina ila nilikwenda tu kama formality kwa ajili ya uthibitisho somewhere.Nilichotaka kusisitiza ni kuwa huyu jamaa ajaribu kumshauri mwenzake waende AMREF au ANGAZA au hospitali za kiserikali atapata ushauri mzuri sana.Muweke karibu sana katika kipindi hiki kigumu.
I Guess you are an extra ordinary Genius....we kipaji!u alwayz dance according to the tune.Thanx for speaking my LanguageNadhani alimalizia kwa kuandika, 'huzuni yake ni yangu pia.' Lakini hata kama ni yeye muathirika, ushauri utabaki uleule, na jambo zuri zaidi; huu si wakati wa kulaumu au kunyosheana vidole. Hatutamsaidia mlengwa.
Siwez kuona aibu,sijalelewa kuona aibu ktk kuliiza Mambo yanayonijenga!inaniuma sbb n rafiki yangu wa kweli...au nikudokeze tu!Jamaa ni zaid ya rafiki!ata baada ya kumalza chuo alitangulia kpata kazi..mi nlchelewa sana!alinsaidia..akanbeba mpaka tukainuka wote!NAYAONJA MAUMIVU YAKEMleta threat utakua ww ndio muhusika bt unaona noma kuweka waz hapa, anyway we kapime tu ujue kama umeukwaa au vp, na kama ukikuta upo safi huyo dada haina haja hata ya kumsalimia we mpotezee mazima! Last pole sana hayo ndio maisha inabidi ukubali tu matokeo.
We Kiboko!Dah ndugu, poleni sana. Kumbe ndo maana network imekuwa taabu sana hizi siku za karibuni!!...lolOzzie kamaliza kila kitu hapo juu, fuata tu ushauri. Na kwa wengine ambao hamjafikwa: MKOME KUCHOVYA CHOVYA NA KULAMBA LAMBA!!! Mnaona hadi tunakosa huduma zenu ambazo ni muhimu kwa jamii... Kwanza Mungu hapendi tabia hiyo, MKOME KABISA.
Mkuu Ozzie, umeelimisha VIZURI SANA dhana ya Discodant na kiasi cha hatari ya maambukizi (RELATIVE RISK) kwa tendo bila kinga, naomba kuongezea kuwa hatari kubwa iko kwa kuingiliana kinyume na maumbile ambapo risk/uwezekano wa maambukizi kwa katika kila tendo bila kinga ni karibu mara 18 ya ngono kwa njia ya kawaida (heterosexual act), lakini tendo moja laweza tosha kupelekea 100% maambukizi kutokana na factors ulizozieleza kwa ufasaha hapo mwisho wa maelezo yako,Tafiti zimeonesha kuwa risk ya kupata HIV kwa mwanaume kwa kila tendo la ndoa moja analofanya (nazungumzia insertive vaginal sex) na mwanamke mgonjwa wa VVU ni asilimia 0.03 hadi 0.09