Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu aende kwanza ku report Polisi kisha nitafute mimi nipate kumshughulikia huyo mwizi atarudisha mwenyewe vitu vyote alivyoiba.Habari wakuu, Dada yangu ameibiwa vitu vya ndani pamoja na simu zake, je naweza kuipata vitu kwa kutumia simu ikiwa hskumbuki IMEI Za simu?
Kuhusu simu, sahau,huwezi kuipata,hata akifsnikiwa kujua ilipo, Hao vibaka wataiaribu tu, hawana cha kupotezea, cha msingi ni kwenda Mitandso ya cm, na kufunga laini zake zote,Habari wakuu, Dada yangu ameibiwa vitu vya ndani pamoja na simu zake, je naweza kuipata vitu kwa kutumia simu ikiwa hskumbuki IMEI Za simu?