Mnatuchanganya kweli yaani. mwingine anafungua uzi kuwa kaokota simu ila kaambiwa na polisi kuwa simu iliibiwa na vitu vya ndani wewe tena unakuja na uzi ni dada yako ndio kaibiwa simu na vitu vya ndani!
Kuhusu simu, sahau,huwezi kuipata,hata akifsnikiwa kujua ilipo, Hao vibaka wataiaribu tu, hawana cha kupotezea, cha msingi ni kwenda Mitandso ya cm, na kufunga laini zake zote,