Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tayari Zanzibar ina Jeshi lake kamili. Wamehakilisha vimeanzishwa vikosi saivi ambavyo vina zana na mafunzo kama tu JWTZ.Kwa udi na uvumba anatafuta muda mwingine ,ili akamilishe Zanzibar yenye jeshi kamili maana ake suala la majeshi lisiwe la muungano
Ni zaidi ya hatari.Huyu mtu ni hatari kama Hamas
Tanganyika tuamke.Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Nyerere alikoenda asirudiZamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Anawachezea Watanganyika kama midoliTanganyika tuamke.
Wanaona raha kuhongwa vishilingi ili wajisifu mitandaoni kuwa wana hela wakati Taifa lao linaangamizwa na kuuwawa mchana kweupe.Watanganyika wanatukuza Uchawa tu. Uzalendo kwa Taifa Lao ulishazikwa looooongi
Weka takwimu Mkuu ili heshima ya kuitwa Lord Denning ibakie, kinyume cha hapo ni uzushi yaani utaitwa mmbeaZamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Hapana, Watanganyika wanajichezea wenyewe! Lile bunge limejaa watu wa upande gani?Anawachezea Watanganyika kama midoli
Utaandika Hadi 2030 anapokabidhi madaraka.Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.