Uongo hautakusaidia bro,fanya utafiti usidhani sidi sote ni mbumbumbu:
1.benki ya tanzania ni moja tu na ina matawi sehemu nyingi mikoani na tawi la zanzibar ni sehemu ya benki kuu,na kumbuka benki kuu ilianzishwa na nchi 2 yaani tanganyika na zanzibar
2.zanzibar kuna tra ambayo inakusanya kodi za kimuungano lakini wana zrb kwa kodi za kizanzibari na zrb ilikuwepo hata kabla hajawa na mamlaka makubwa
3.usisahau kuwa zanzibar ilikuwa nchi kamili ikajiunga na tanganyika,hivyo na yenyewe ina haki sawa ya kufaidi mali za muungano,tuache chuki zisizo na msingi na uongo usiokuwa na maana yoyote ile