Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.

Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.

Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.

Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.

Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.

Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Uchaguzi 2025 Zanzibar wapinzani hawana hoja tena maana walichokuwa wakipiganis ni mamlaka kamili ambayo wameshapata.
 
🚮🚮
 
Tatizo Watanganyika hawaitaki Tanganyika yao! Wamesusa... Wanafurahia kuishi ndani ya Tanzania ambayo ni cha wote!

1,500 % correct. Hatuitaki Tanganyika.

Ndo maana raia namba moja wa Taifa, Rais Mtanganyika, siku moja akatangaza kuanzia leo naanzisha wilaya yenye jina la old country Tanganyika.

Ili kufuta memory ya utaifa wa old country Tanganyika. Ionekane ni jina tu kama Newala !

Tutamwita Hamas ndio lakini mwisho wa siku ni sisi kupenda kujikomba na kulamba arses za Zanzibar. Na wenyewe wamejua tunapenda ka muungano kama mateja wa cocaine. Watanganyika wanatembea Kariakoo na majezi ya mpira yameandikwa ZANZIBAR. Akiongea ni lafudhi nzito
ya Kihaya, Kipare, Kisukuma!. Huwa natamani kutapika. A Zanzibari WOULD NEVER EVER IN HIS LIFE VAA JEZI YA TANGANYIKA kama ingekuwepo!

Sijui kina nini cha mno kile kisiwa jamani jamani jamaniiii.... ????? Roho inauma kupita maelezo...
 
Hilo ni Jeshi Kamili, wenyewe wanaita Kikosi Cha Valantia, hata ukiingia Makambini kwao kila kitu ni JWTZ.
View attachment 3359040

View attachment 3359043
Sijui kwanini hili halijawahi jadiliwa humu nilishawahi kuuliza mimi kwenye comments kuhusu hii KVZ
ni original copy ya JW ila huko chogo huingii kaka
Na 92 kina makame wanakiwasha vibaya mno usikute ndo wanaenda kua ma INSTRUCTOR na Drills off huko kihangaikoni na chukwani kwao
 
Mimi naona yupo sawa,ana akili sana. Ukitawala wajinga itumie nafasi hiyo vizuri usije ijutia. Hayo ndiyo aliyokuwa anayapigania jaji Warioba;lakini mkawa mnampuuza
 
Hapana, Watanganyika wanajichezea wenyewe! Lile bunge limejaa watu wa upande gani?
  • Uwiano wa watu wa bara na visiwani ndani ya CCM ukoje?
  • Polisi wa bara wanaowanyanyasa wabara, ni wazanzibari?
  • Ofisi za serikali zisizowajali wananchi huku bara, zote zimekaliwa na wazanzibari?

Kwa taarifa kama hii, unadhani hakuna watanganyika wenye mamlaka na maamuzi wanaozijua?

Wamekosa;
  • Utu
  • Upendo
  • Umoja

Wamejijaza;
  • Ubinafsi
  • Umelo
  • Fikra finyu

Nioneshe chawa mmoja mwenye asili ya zanzibar anayepiga kelele bara ili kujipatia ridhiki!

Mwigu yuko busy kuiba, Janu busy kuiba, Wazaramo wa msoga busy kukomba, kila kona unasikia fulani kaweka kitu hapa, pale ni pa fulani n.k
  • Wao sasa, wananunua mijumba Uarabuni, wanawapa ardhi bara...guess what, wabara wanaona ni maendeleo kwakuwa nao wanapata!
  • Mchanga unahamisha bara kwenda visiwani kwa gari mpya zilizonunuliwa na JMT, wapo tu!
  • Mtaje mzanzibari mmoja aliyetekwa au kupotea

Kama uliwahi kudhani au kusikia kuwa MAMA WA KAMBO ana roho mbaya kwa watoto wa kufikia, hutashangaa wala kubisha kuwa MUUNGANO WA WATOTO na ndugu wa watoto ndo utakaomng'oa mama wa kambo kwenye nyumba! Ndugu wa watoto ndo hao wananunua magari ya kifahari ya mwaka 2023, 2024
Duuh
 
According to ChoiceVariable, sasa wanafungua shirika lao la ndege kwa hadaa wakiita la kitaifa. Huenda nia ni kufly straight from Zanzibar middle/far east kwa air zanzibar while Tanganyika is no more😡😡😡😡
 
Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.

Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.

Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.

Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.

Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.

Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.

Updates
Ameimaliza ATCL saivi ndege zake haziruhusiwi hata kukanyaga Ulaya alafu anakamilisha kuanzisha Shirika la Ndege la Zanzibar
Amefanikiwa kutengeneza machawa wengi wa kitanganyika ili hoja za Tanganyika zisiibuliwe
 
Back
Top Bottom