Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.

Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.

Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.

Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.

Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.

Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Una chuki binafsi na Zanzibar, na umekiri kua haipo huru, acha chokochoko
 
Na bado, hii ndo raha ya kuongozwa na macc
 
Dhana potofu ipi? Tena haya yaliyosemwa hapa ni madogo sana.

Kashurutisha deni lote la Tanesco kwa Zanzibar lisamehewe wakati Tanesco wanakopa Fedha za kuendesha miradi kwa riba kwenye mabenki ya Ulaya na Afrika.
relax plz mpotoshaji 🐒
 
Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.

Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.

Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.

Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.

Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.

Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Ndio watanganyika sasa waendelee kuteka watanganyika wenzao kwa sababu wao ni mapoyoyo.
 
1. Toa sababu za kwa nini Tanganyika "ili cease ku exist tarehe 26/04/1964..." Kabla sijakuarua.
2. Niambie ni kwa nini mpaka leo Zanzibar bado inatambulika kama nchi kamili! Na ikiwa na Rais wake, serikali yake, Bunge lake, nk. halafu unasema Tanganyika ili cease ku exist?

3. Na uniambie hiyo tarehe 26/04/1964 ulifanyika Muungano wa nchi mbili ambazo ni zipi kwa uelewa wako?

NB:- Ufahamu kuanzia leo (kama ulikuwa hujui) mimi ni raia wa Tanganyika! na nimezaliwa, na ninaishi Mkoa wa Tanga. Ok?
Jibu moja tu. Zanzibar siyo mwanachama wa UN, as such Zanzibar siyo nchi bali ni sehemu ya Muungano ambayo ina special autonomy.

Najua kijiji cha kwanza kutoka Muheza kwenda Tanga kabla ya Pongwe kinaitwa Tanganyika. Na kule Katavi kuna wilaya inaitwa Tanganyika. Kwahiyo sona shida kwa wewe kuwa Mtanganhika
 
sasa anauza kila kitu kwa waarabu anaoletewa na kipenzi mtoto
Kuna dili za kufa mtu zinapigwa na huyo dogo pamoja na Rostam na Mchengerwa.

Hao ndo wenye nchi kwa sasa. Rasilimali za Tanzania ni kama zao
 
Ndio watanganyika sasa waendelee kuteka watanganyika wenzao kwa sababu wao ni mapoyoyo.
Wanaowafqnyia sodomy Watanganyika wengi wanatoka Zanzibar. Vikosi vyake vya kuteka, kuua na kulawiti Watanganyika vimejaa Wazanzibari
 
Jibu moja tu. Zanzibar siyo mwanachama wa UN, as such Zanzibar siyo nchi bali ni sehemu ya Muungano ambayo ina special autonomy.

Najua kijiji cha kwanza kutoka Muheza kwenda Tanga kabla ya Pongwe kinaitwa Tanganyika. Na kule Katavi kuna wilaya inaitwa Tanganyika. Kwahiyo sona shida kwa wewe kuwa Mtanganhika
Kutokuwa Mwanachama wa UN ndo kufanye watumie umeme alafu deni lifutwe?

Kwa nini wamefutiwa deni la Umeme Tanesco alafu shirika linaenda kukopa hela kwa riba ili kuwasambazia Wananchi umeme?
 
Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.

Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.

Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.

Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.

Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.

Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Tanganyika ni shamba la bibi...
 
Kutokuwa Mwanachama wa UN ndo kufanye watumie umeme alafu deni lifutwe?

Kwa nini wamefutiwa deni la Umeme Tanesco alafu shirika linaenda kukopa hela kwa riba ili kuwasambazia Wananchi umeme?
Trivialities hizo
 
hata zile ligi za mpira wana zihamishia kwao kimya kimya

Mbona team zao hatuzioni kuja kuchezea taifa

Kina hatari sasa ya hata team zetu pendwa kuhamishiwa huko
 
Back
Top Bottom