Nimesikitika sana leo asubuhi rafiki yangu ananitaarifu kua ni wiki sasa mke wake hana amani na furaha kisa amempa taarifa kua ana mchumba na anataka kumuoa.
Cha kusikitisha zaidi jamaa amemwakikishia kua mke wake wa pili hatokaa kwenye Nyumba wanayoishi kwa sasa bali ataenda kukaa kwenye nyumba mpya alionunua Tegeta.
Mila na desturi ya kabila la rafiki yangu inaruhusu ndoa zaidi ya nke mmoja na pia uwezo wake kiuchumi unarusu. Wadada mna matatizo gani siku hizi kwanini mnachukiana.
Hivyo kwa ufupi mi nilimshauri aendelee na mipango yake ya kua na mke wa pili kwani uchumi wake unamruhusu na provided yeye ni mkristo jina. Wadada mbadilike basi.