kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
elewa mkuu kwa kifupi jamaa siyo mkristo tena
Kama ni hvyo sawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elewa mkuu kwa kifupi jamaa siyo mkristo tena
Nimesikitika sana leo asubuhi rafiki yangu ananitaarifu kua ni wiki sasa mke wake hana amani na furaha kisa amempa taarifa kua ana mchumba na anataka kumuoa.
Cha kusikitisha zaidi jamaa amemwakikishia kua mke wake wa pili hatokaa kwenye Nyumba wanayoishi kwa sasa bali ataenda kukaa kwenye nyumba mpya alionunua Tegeta.
Mila na desturi ya kabila la rafiki yangu inaruhusu ndoa zaidi ya nke mmoja na pia uwezo wake kiuchumi unarusu. Wadada mna matatizo gani siku hizi kwanini mnachukiana.
Hivyo kwa ufupi mi nilimshauri aendelee na mipango yake ya kua na mke wa pili kwani uchumi wake unamruhusu na provided yeye ni mkristo jina. Wadada mbadilike basi.

Mkristo anaoa mke wa pili??

et kabila yake inaruhusu
Kwani hua ni kabila au dini ndio inayoruhusu??
Tubadilike tuwe wa blue?
Mkristo anaoa mke wa pili??
mkuu mbona hujamalizia sentensi ukadakia kujibu, amesema mkristo "JINA"....lol
sometimes I wonder what would happen if our wives will wake up one morning and say "mpenzi nataka kuolewa na mume wa pili, nimechoka kuwa na mume mmoja miaka yote!"
Mila na desturi za mwili na tamaa zake. Mie pia ni mkristo hizo ndoa huwa ni za kimila na si kanisani na hata mie siikatai bahati hiyo ikijaa maake kumbe hata dini yangu sibadili alafu wanawake tupendane jmn na sensa yenyewe inaonyesha wanawake wako wengi sasa maadam mume kawa muwazi kwako kuwa hataki sombasomba anataka kitu ya kutulia nayo mi naona ni kheri maana pia utajua leo kalala kwa love more than100 ni kheri na salama zaidi jmn mbona nyie wanawake wenyewe ndio mnataka kufanya mambo mepeesi kuwa magumu?