Jamani mimi ndio nina furaha ambayo haisemeki, wacha sasa nikanywe bia mpaka nitapikeee, Magufuli Oyeeeeeeee.
Wako wapi akina Nifah, Ocampo4, Ulipotupo, M4C, ha ha ha ha walitutukana sana humu JF na mimi niliwaambia wapiga kura wa CCM hawamo humu JF hawakutaka kusikia. Sasa ona mzee wao amekatwa tenaaaa! Alikatwa na CCM hakuridhika sasa Watanzania wamemkata tena! ha ha ha ha ha
Victorie, Mr Chin, Jingalao, Mzee MwanaKijiji, Jimama26, Lizaboni mngekuwa karibu na mimi leo tungefanya bonge la party leo. Magufuli Oyeeeeee!