Amekatwa tenaaaaaaaaa teh teh teh!!!

Amekatwa tenaaaaaaaaa teh teh teh!!!

Wale watukanani wa UKAWA wapo kimyaaa maana walifikiri wamepata kumbe wamepatikana.
 
Jamani mimi ndio nina furaha ambayo haisemeki, wacha sasa nikanywe bia mpaka nitapikeee, Magufuli Oyeeeeeeee.

Wako wapi akina Nifah, Ocampo4, Ulipotupo, M4C, ha ha ha ha walitutukana sana humu JF na mimi niliwaambia wapiga kura wa CCM hawamo humu JF hawakutaka kusikia. Sasa ona mzee wao amekatwa tenaaaa! Alikatwa na CCM hakuridhika sasa Watanzania wamemkata tena! ha ha ha ha ha

Victorie, Mr Chin, Jingalao, Mzee MwanaKijiji, Jimama26, Lizaboni mngekuwa karibu na mimi leo tungefanya bonge la party leo. Magufuli Oyeeeeee!
 
Hahaha tokajana nifurahaaa amekatwaaaaaaa

Wizi huwa una mwisho wake, kama ambavyo Zanzabar walishaiba huko nyuma.. sasa hivi wakadakwa! Kufuta matokeo na mchakazo mzima haitakuwa suluhisho, kamwe!
 
Bado kukatwa na wachunga ng'ombe wenzie.
Wizi huwa una mwisho wake, kama ambavyo Zanzabar walishaiba huko nyuma.. sasa hivi wakadakwa! Kufuta matokeo na mchakazo mzima haitakuwa suluhisho, kamwe!
 
Kazi kweli kweli
 
Attachments

  • 1446132930701.jpg
    1446132930701.jpg
    25.7 KB · Views: 76
Magambaz msifurahi maana Manvi yuko chimbo anataka kuibuka na plan C baada ya A na B ku-fail.
 
Wizi huwa una mwisho wake, kama ambavyo Zanzabar walishaiba huko nyuma.. sasa hivi wakadakwa! Kufuta matokeo na mchakazo mzima haitakuwa suluhisho, kamwe!

Hivi unajua kuwa aliyeharibu mchakato wa kura enji ni Seifffu kwa kujitengenezea kura bandia? Kura zimevurugwa pemba, huko sisiemu walikuwa chali, au unataka sema licha ya sisiemu kuiba bado walikuwa chali huko pemba?
 
Sawasawa kabisa.
 
Back
Top Bottom