Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona mlikua mnatupopoa mawe na vinguo vyetu vya njaqno na kijani?
Miongoni mwa marais w..abov...u ever..
Hahaha tokajana nifurahaaa amekatwaaaaaaa
Wizi huwa una mwisho wake, kama ambavyo Zanzabar walishaiba huko nyuma.. sasa hivi wakadakwa! Kufuta matokeo na mchakazo mzima haitakuwa suluhisho, kamwe!Bado kukatwa na wachunga ng'ombe wenzie.
Wizi huwa una mwisho wake, kama ambavyo Zanzabar walishaiba huko nyuma.. sasa hivi wakadakwa! Kufuta matokeo na mchakazo mzima haitakuwa suluhisho, kamwe!
Sawasawa kabisa.Hivi unajua kuwa aliyeharibu mchakato wa kura enji ni Seifffu kwa kujitengenezea kura bandia? Kura zimevurugwa pemba, huko sisiemu walikuwa chali, au unataka sema licha ya sisiemu kuiba bado walikuwa chali huko pemba?