Amekomeshwa Kwa uroho wa mali

Amekomeshwa Kwa uroho wa mali

Shinbet18

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
255
Reaction score
263
Habari zenu!

Kuna mwanamke msumbufu kwenye ndoa kavuruga ubongo wa mumewe ili apewe talaka hatimae akapewa talaka.

Juzi karudi eti wagawane Mali mume kamwambia nyumba ya watoto hivyo hakuna kugawa kanywea hivi sasa anauza uji kijijini.

Alipokuwa na mumewe maisha yalikuwa mazuri kila kitu hakikosekani ndani sasa anapata tabu jamaa kashaoa mwengine.Alie mshawishi adai talaka anachekelea.Za kuambiwa uchanganye na zako.
 
Wanakuwaga na maneno yao ya kuondokea...
1. Una nini?
2. Kwetu sijauwa
3. etc..

Come one month UTAONA JITIHADA ZA KUTAKA KURUDI
 
Back
Top Bottom