Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 263
Habari zenu!
Kuna mwanamke msumbufu kwenye ndoa kavuruga ubongo wa mumewe ili apewe talaka hatimae akapewa talaka.
Juzi karudi eti wagawane Mali mume kamwambia nyumba ya watoto hivyo hakuna kugawa kanywea hivi sasa anauza uji kijijini.
Alipokuwa na mumewe maisha yalikuwa mazuri kila kitu hakikosekani ndani sasa anapata tabu jamaa kashaoa mwengine.Alie mshawishi adai talaka anachekelea.Za kuambiwa uchanganye na zako.